Mwanamke wa INTJ (Mbunifu) ameketi akitafakari kwa kina huku akichambua taswira ya vita vya joka kwenye mmoja wa skrini zake nyingi. Mbwa ameketi karibu naye katika chumba chake kilicho na mpangilio mzuri, kimejaa teknolojia, mimea na vifaa vya kuhifadhia.

Kifurushi cha Kazi cha Premium

Jenga kazi inayofaa haiba yako ya kipekee.

$29

Endelea
Dhamana ya kurudishiwa pesa ndani ya siku 30

Hivi ndivyo tutakavyokusaidia kufanya hili:

  • A green tree.

    Elewa wewe ni nani kwa hakika

    Mwongozo wako wa taaluma wenye kurasa 40+ unaonyesha kwa nini ushauri wa kawaida haukukufaidi. Jifunze ni nini kinakupa nguvu na nini kinakuchosha, jinsi haiba yako inavyoongeza thamani, na jinsi “tabia zako za kipekee” zinavyoweza kuwa nguvu zako kuu.

  • A blue briefcase.

    Jitofautishe na wengine

    Pata ufikiaji wa haraka kwa washauri watano wa AI wa taaluma wanaopatikana saa 24/7. Fanya vizuri kwenye usaili kwa uhalisia, jenga mitandao bila kuchoka, andika wasifu wa kuvutia, na miliki mabadiliko ya kazi kwa mwongozo uliobinafsishwa.

  • A purple handshake.

    Boresha ustadi wako wa kuwa na watu

    Tambua kinachomchochea kila aina ya haiba. Kuwa bingwa wa mawasiliano ya kushawishi, dhibiti wenzako wagumu kwa urahisi, na jenga uhusiano wa kweli wa kitaaluma – bila uhitaji wa kujifanya kwenye mitandao ya kazi.

  • A yellow graduation cap.

    Tumia sayansi, sio kubahatisha

    Tathmini zetu za kisasa zinaweza kufichua njia za kazi ambazo hujawahi kufikiria. Gundua mazingira yako bora ya kazi, mtindo wako wa uongozi, vichochezi vya kuchoka kazini, thamani zako za kazi, na zaidi.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Jaribio la haiba lisilolipishwa ulilofanya linakupa maarifa mazuri, lakini umeona takriban 5% pekee ya yale tunayoweza kukuonyesha. Kifurushi cha Kazi yetu ya Premium ina maarifa yaliyosalia kuhusu aina yako ya haiba na inaingia zaidi kwa undani ukilinganisha na kile ulichosoma tayari.

Ikiwa kweli unataka kujielewa na kukua hadi kuwa toleo bora zaidi la wewe mwenyewe, basi kujifunza kutokana na nyenzo hizi ni jambo la lazima. Fikiria kama ramani ya barabara inayo kuelekeza kuwa mtu mwenye furaha zaidi, mafanikio zaidi, na uwezo mwingi zaidi.

Badala ya kukupa jina moja tu la kazi, Kifurushi cha Kazi hukuonyesha nyanja, majukumu, na mazingira ya kazi ambamo haiba yako ya ina uwezekano mkubwa zaidi wa kustawi. Utagundua mifumo inayolingana na nguvu zako na maadili yako, ili uweze kuchagua kutoka chaguo nyingi zinazohisi kuwa na maana na za kweli. Kwa njia hii, hufungwi kwenye jibu moja – unapata uwazi na unyumbufu wa kufanya chaguo sahihi kwa ajili yako mwenyewe.

Kila mshauri wa AI hutumia wasifu wako wa haiba na malengo yako kukupa msaada uliobinafsishwa – iwe unaandika wasifu, unajiandaa kwa usaili, unapanga kubadilisha taaluma, au unaboresha mkakati wako wa kujenga mitandao. Wafikirie kama makocha wanaopatikana unapowahitaji na waliopo saa 24/7. Badala ya vidokezo vya jumla, utapata mwongozo ulioundwa kulingana na wewe ni nani na unachotaka, ili uweze kuchukua hatua kwa kujiamini.

Unaweza kupakua mwongozo wa kazi wa PDF kwa ajili ya kutumia nje ya mtandao mara tu baada ya kununua. Nyenzo na zana nyingine zinapatikana mtandaoni pekee.

Hatukutengeneza jaribio hili kwa mzaha. Mfumo wetu wa haiba ambao umebainishwa kupitia utafiti unaleta pamoja maendeleo ya hivi karibuni katika utafiti wa saikometria, ukiunganisha dhana zilizothibitishwa na muda na mbinu madhubuti na sahihi zaidi za kupima.

Tangu 2011, tumekuwa tukichunguza aina za haiba na jinsi zinavyoathiri mafanikio ya maisha. Kwa sababu hiyo, jaribio letu la haiba lisilolipishwa limefanywa zaidi ya mara bilioni moja na linapatikana katika lugha 49, na kulifanya liwe jaribio kubwa zaidi la haiba lililotafsiriwa kwenye mtandao kwa sasa.

Kutoa jaribio letu bure ndiyo hasa sababu tunauwezo wa kulifanya liwe la kuaminika sana na sahihi – kwa sababu sampuli za wanaojibu ni kubwa sana. Ikiwa una nia, pata maelezo zaidi kuhusu mazingira yetu wazi kuhusu uhalali.

Mwanamke wa INTJ (Mbunifu) ameketi akitafakari kwa kina huku akichambua taswira ya vita vya joka kwenye mmoja wa skrini zake nyingi. Mbwa ameketi karibu naye katika chumba chake kilicho na mpangilio mzuri, kimejaa teknolojia, mimea na vifaa vya kuhifadhia.

Kifurushi cha Kazi cha Premium

Jenga kazi inayofaa haiba yako ya kipekee, kwa $29 tu.

Endelea

Hakuna Hatari, Dhamana ya Kurudishiwa Pesa 100%

Iwapo hutoridhika na bidhaa hii, tuma tu barua pepe kwa support@16personalities.com ndani ya siku 30, nasi tutakurudishia pesa zako – bila maswali yoyote.