Jaribio la Nafsi Lisilolipishwa

NERIS Type Explorer®
Huchukua chini ya dakika 12.
Jibu kwa uaminifu, hata kama hupendi jibu hilo.
Jaribu usiwache majibu yoyote yakiwa “katikati”.
0
Unakuwa na matatizo ya kujitambulisha kwa watu wengine.
Ninakubali
Sikubali
Mara nyingi huwa unazama kwenye fikra hadi unapuuza au kusahau mazingira yako.
Ninakubali
Sikubali
Unajaribu kujibu barua pepe zako haraka iwezekanavyo na huwezi kuvumilia kikasha pokezi kilichojaa.
Ninakubali
Sikubali
Ni rahisi kutulia na kuwa makini hata wakati kuna msukumo fulani.
Ninakubali
Sikubali
Huwa huanzishi mazungumzo.
Ninakubali
Sikubali
Ni nadra sana kufanya kitu kutokana na udadisi tu.
Ninakubali
Sikubali
Unajihisi ukiwa bora zaidi kuliko watu wengine.
Ninakubali
Sikubali
Kuwa na mpango ni muhimu sana kwako kuliko kuwa na uwezo wa kubadilika.
Ninakubali
Sikubali
Kwa kawaida huwa una motisha na nguvu nyingi.
Ninakubali
Sikubali
Kushinda majadiliano sio muhimu kwako kuliko kuhakikisha kwamba hakuna mtu anakasirika.
Ninakubali
Sikubali
Mara nyingi huwa unahisi kama lazima ujitetee kwa watu wengine.
Ninakubali
Sikubali
Mazingira yako ya nyumbani na kazini huwa safi.
Ninakubali
Sikubali
Hujali kuwa kivutia hadhira.
Ninakubali
Sikubali
Unajiona kuwa mtu wa vitendo kuliko ubunifu.
Ninakubali
Sikubali
Ni nadra sana watu kukukasirisha.
Ninakubali
Sikubali
Huwa unapanga mipango yako ya safari vizuri.
Ninakubali
Sikubali
Huwa ni nadra kwako kujihusisha na hisia za watu wengine.
Ninakubali
Sikubali
Hali yako inaweza kubadilika haraka sana.
Ninakubali
Sikubali
Katika majadiliano, ukweli unafaa kuwa muhimu zaidi kuliko hisia za watu.
Ninakubali
Sikubali
Ni nadra sana kuwa na wasiwasi kuhusu jinsi hatua zako zinaathiri watu wengine.
Ninakubali
Sikubali
Mtindo wako wa kazi unakaribia ule wa ongezeko la nguvu la ghafla kuliko mfumo unaofuata mikakati na mpangilio.
Ninakubali
Sikubali
Mara nyingi huwa unawaonea watu wengine wivu.
Ninakubali
Sikubali
Mara nyingi kitabu kizuri au mchezo mzuri wa video huwa ni bora kuliko tukio la kijamii.
Ninakubali
Sikubali
Kuweza kuunda mpangilio na kuufuatilia ni sehemu muhimu zaidi ya kila mradi.
Ninakubali
Sikubali
Ni nadra sana uzame kwenye ndoto na mawazo.
Ninakubali
Sikubali
Mara nyingi huwa unajipata umezama katika mawazo unapotembea katika mazingira ya kiasili.
Ninakubali
Sikubali
Ikiwa mtu hajibu barua pepe yako haraka, unaanza kuwa na wasiwasi kama ulisema kitu kibaya.
Ninakubali
Sikubali
Kama mzazi, afadhali umuone mtoto wako akikua akiwa mkarimu kuliko mwerevu.
Ninakubali
Sikubali
Huwaruhusu watu wengine kuathiri hatua zako.
Ninakubali
Sikubali
Ndoto zako hulenga dunia ya mambo ya kweli na matukio yake.
Ninakubali
Sikubali
Huwa haichukui muda mrefu kuanza kujihusisha na shughuli za kijamii katika mazingira yako mapya ya kazi.
Ninakubali
Sikubali
Wewe ni mfaraguzi asili kuliko mpangaji mzuri.
Ninakubali
Sikubali
Mihemuko yako hukudhibiti kuliko unavyojidhibiti mwenyewe.
Ninakubali
Sikubali
Unafurahia kuenda kwenye matukio ya kijamii yanayohusu kujipamba au shughuli za uigizaji.
Ninakubali
Sikubali
Mara nyingi huwa unatumia muda wako kufikiria dhana zisizo halisi na ngumu kutelekeza lakini zinazosisimua.
Ninakubali
Sikubali
Afadhali ufarague badala ya kutumia muda wako kuunda mpango kamilifu.
Ninakubali
Sikubali
Kwa kawaida wewe ni mtu mtulivu na mnyamafu.
Ninakubali
Sikubali
Ikiwa ungekuwa na biashara, ingekuwa vigumu sana kufuta wafanyakazi waaminifu lakini wasiotekeleza kazi zao vizuri.
Ninakubali
Sikubali
Mara nyingi huwa unatafakari sababu za kuwepo kwa binadamu.
Ninakubali
Sikubali
Mara nyingi mantiki ni muhimu zaidi kuliko hisia za moyo wakati wa kufanya maamuzi muhimu.
Ninakubali
Sikubali
Kuwa na chaguo wazi ni muhimu sana kuliko kuwa na orodha ya mambo ya kufanya.
Ninakubali
Sikubali
Ikiwa rafiki yako ana huzuni kuhusu jambo fulani, kuna uwezekano mkubwa utampatia usaidizi wa kimhemuko badala ya kupendekeza namna za kutatua jambo hilo.
Ninakubali
Sikubali
Ni nadra sana ujihisi una ukosefu wa usalama.
Ninakubali
Sikubali
Huna matatizo ya kupanga ratiba ya kibinafsi na kuifuata.
Ninakubali
Sikubali
Kuwa sahihi ni muhimu sana kuliko kushirikiana katika kazi ya timu.
Ninakubali
Sikubali
Unafikiria kwamba maoni ya kila mtu yanafaa kuheshimiwa bila kujali kama yanaungwa mkono na ukweli au la.
Ninakubali
Sikubali
Unahisi ukiwa na nguvu baada ya kupitisha muda na kundi la watu.
Ninakubali
Sikubali
Huwa unapoteza vitu vyako mara kwa mara.
Ninakubali
Sikubali
Unajiona ukiwa mtulivu sana kihisia.
Ninakubali
Sikubali
Wakati wote akili yako huwa na dhana na mipango ambayo haijapekuliwa.
Ninakubali
Sikubali
Huwezi kujiita mwotaji.
Ninakubali
Sikubali
Mara nyingi huwa una matatizo ya kutulia unapozungumza mbele ya watu wengi.
Ninakubali
Sikubali
Kwa ujumla, huwa unategemea uzoefu wako zaidi kuliko ubunifu wako.
Ninakubali
Sikubali
Huwa una wasiwasi sana kuhusu fikra za watu wengine kukuhusu.
Ninakubali
Sikubali
Ikiwa chumba kimejaa, huwa unapendelea kukaa karibu na ukuta, ukiepuka sehemu ya katikati.
Ninakubali
Sikubali
Una tabia ya kuahirisha mambo hadi unakosa muda wa kutosha kufanya kila kitu.
Ninakubali
Sikubali
Huwa una wasiwasi sana ukiwa katika hali za dhiki.
Ninakubali
Sikubali
Unaamini kwamba ni muhimu kupendwa na watu wengine kuliko kuwa na mamlaka.
Ninakubali
Sikubali
Umekuwa ukivutiwa na vitu visivyo vya kawaida na vyenye utata wakati wote, k.m. katika vitabu, sanaa, au sinema.
Ninakubali
Sikubali
Mara nyingi huwa unachukua hatua katika hali za kijamii.
Ninakubali
Sikubali