Aina za Nafsi
Wachambuzi
Mbunifu
INTJ-A / INTJ-T
Wabunifu, wafikiriaji wa kimkakati, wenye mpango wa kila kitu.
Mwanalojiki
INTP-A / INTP-T
Wavumbuzi wabunifu wenye kiu kisichokwisha cha ujuzi.
Kamanda
ENTJ-A / ENTJ-T
Wajasiri, wabunifu na viongozi wenye dhamira imara, wanaotafuta namna wakati wote – au kuunda moja.
Mjadili
ENTP-A / ENTP-T
Werevu na wadadisi ambao hawawezi kukataa changamoto za kiakili.
Wanadiplomasia
Mtetezi
INFJ-A / INFJ-T
Wapole na wa siri, lakini hutia watu moyo sana na wadhanifu wasiochoka.
Mpatanishi
INFP-A / INFP-T
Watu wa kishairi, wema na wasio na ubinafsi, huwa tayari kusaidia kazi nzuri.
Protagonisti
ENFJ-A / ENFJ-T
Viongozi wenye karama na kutia watu moyo, wanaoweza kuvutia wasikilizaji wao.
Mwanaharakati
ENFP-A / ENFP-T
Watu wenye shauku, wabunifu na nafsi huru ya kijamii, wanaoweza kuwa na sababu ya kutabasamu.
Walinzi
Logistiki
ISTJ-A / ISTJ-T
Watu wa vitendo na wanaopenda ukweli, ambao uaminifu wao hauwezi kushukiwa.
Mlinzi
ISFJ-A / ISFJ-T
Walinzi waliojitolea na wakunjufu, walio tayari kulinda wapendwa wao.
Msimamizi
ESTJ-A / ESTJ-T
Wasimamizi bora, wasio na kifani katika usimamiaji wa mambo – au watu.
Konsuli
ESFJ-A / ESFJ-T
Wanaojali, wanaopenda kuingiliana kijamii na walio maarufu kupindukia, wanaopenda kusaidia.
Wavumbuzi
Weledi
ISTP-A / ISTP-T
Wajasiri na wa vitendo wanaopenda kufanya majaribio, weledi wa kutumia aina zote za vifaa.
Mtafutamatukio
ISFP-A / ISFP-T
Wasanii wacheshi rahisi kubadilika, walio tayari kupekua na kufanya mambo mapya.
Mjasiriamali
ESTP-A / ESTP-T
Werevu, wenye bidii na wafahamivu sana, wanaofurahia matukio hatari.
Mburudishaji
ESFP-A / ESFP-T
Wasiopanga, wenye nguvu na shauku – maisha hayachoshi ukiwa karibu nao.