Ripoti Maalum ya Utu
Ripoti Maalum ya Utu
Fungua uwezo wako kamili kupitia utafiti wa kipekee kuhusu nguvu fiche zinazounda mafanikio na uwezo wako.
$ 9
Gharama ya mara moja tu. Dhamana ya kurudishiwa pesa 100%.
Utakachopokea leo:
-
Maarifa yaliyobinafsishwa
Tambua sifa zako 12 zenye ushawishi na uone jinsi zinavyoathiri maisha yako ya kila siku. Pata maarifa yaliyobinafsishwa ambayo yanazidi maelezo ya kimsingi ya utu ili kukusaidia kuelewa vyema mielekeo yako ya asili.
-
Mazingira bora ya kazi
Jifunze ni aina gani ya mazingira ya kazi yanayolingana na mtindo wako asilia. Kuanzia mienendo ya timu hadi utamaduni wa kazini, gundua mazingira ambamo una uwezekano mkubwa zaidi wa kujisikia mwenye ari na kufanya kazi kwa ufanisi.
-
Hofu na vichocheo
Gundua kinachochochea maamuzi yako na tabia zako kwa dhati. Kwa kuelewa vichocheo vyako vikuu na hofu zako, unaweza kufanya maamuzi yanayolingana na utu wako halisi na kupata utoshelevu wa kweli.
-
Nguvu na maeneo ya kukua
Elewa vipaji na mapengo yako katika maeneo yote ya maisha. Jifunze jinsi ya kutumia vyema nguvu zako na kubadilisha udhaifu kuwa fursa katika kazi, maisha binafsi, na mahusiano.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Ripoti yako ya Utu ya Premium inajumuisha maarifa yaliyofanyiwa utafiti kuhusu maeneo makuu matatu ya maisha: njia yako ya kazi, ukuaji wako binafsi, na mahusiano yako. Utajifunza kuhusu mazingira bora ya kazi, kugundua hofu maalum na vichocheo vinavyoathiri maendeleo yako, na kuona mifumo yako ya mahusiano pamoja na jinsi unavyoungana na wengine. Pia, utapokea orodha za kina za nguvu na udhaifu zinazohusiana hasa na kila eneo la maisha.
Wakati matokeo yetu ya bure yanakupa aina yako ya kimsingi ya utu, Ripoti ya Premium inachimba zaidi. Inakupa:
- Uchambuzi wa sifa 12 za ziada zenye ushawishi
- Maarifa ya kazi yaliyobinafsishwa na mapendekezo ya mazingira ya kazi
- Maarifa yanayolenga ukuaji binafsi, yakiwemo hofu na vichocheo
- Uelewa wa kina wa mahusiano na mifumo ya mahusiano
- E-books and insights for all 16 personality types (Complete Collection only)
Zaidi ya asilimia 91 ya watumiaji wanakadiria matokeo ya mtihani wetu kuwa sahihi au sahihi sana – na sasa, shukrani kwa utafiti mpya, tumetengeneza kitu kizuri zaidi. Ripoti ya Premium inakwenda mbali zaidi ya matokeo yako ya kimsingi kwa kuchanganua sifa 12 za ziada zenye ushawishi zinazounda jinsi utu wako unavyojitokeza maishani. Ijapokuwa aina yako ya msingi ya utu inaweza kubaki ileile, utagundua ufahamu wa ndani na ulio speshali juu ya nguvu na mapungufu yako katika kazi, ukuaji binafsi, na mahusiano. Zaidi ya hayo, utapata mwongozo juu ya mazingira bora ya kazi, hofu na vichocheo vikuu, pamoja na mifumo ya mahusiano – ufahamu ambao huwezi kupata katika matokeo yako ya awali.
Mtihani wetu wa utu umechukuliwa zaidi ya mara bilioni moja na unapatikana katika lugha zaidi ya 45, na hivyo kuufanya kuwa mtihani muhimu wa utu uliotafsiriwa katika lugha nyingi zaidi kwenye mtandao leo.
Tofauti na vipimo vya kimsingi vya utu vinavyokupa tu aina, Ripoti yetu ya Utu ya Premium inachanganua sifa 12 za ziada zenye ushawishi ambazo zinaathiri jinsi utu wako unavyojitokeza katika maisha halisi. Tunaunganisha nadharia za kitamaduni za utu na utafiti wa kisasa wa kisaikolojia ili kukupa uelewa mpana na uliobinafsishwa.
Ndiyo. Tafadhali angalia makala hii (kwa Kiingereza) kupata maelezo zaidi kuhusu mfumo wetu wa nadharia.
Muundo wetu wa utu ambao umeungwa mkono na utafiti unajumuisha maendeleo mapya katika utafiti wa usayansi wa upimaji wa saikolojia, ukiunganisha dhana zilizojaribiwa kwa muda mrefu na mbinu za upimaji imara na sahihi sana. Ingawa hakuna mtihani wa utu ulio sahihi kwa asilimia 100, mfumo wetu una uhakika mkubwa. (Jifunze zaidi kuhusu mtazamo wetu ulio wazi kuhusu uhalali.)
Mtihani huu kwa kawaida huchukua takriban dakika 20 kukamilika. Tunapendekeza utenge dakika 30 ili uweze kujibu maswali kwa makini bila haraka. Ripoti yako ya Utu ya Premium itapatikana mara tu utakapomaliza mtihani.
Tunaamini kwamba kila mtu anapaswa kupata uelewa wa kina juu ya utu wake. Dhamira yetu ni kusaidia watu wote kujielewa vyema zaidi, ndiyo maana tumeweka bei iwe nafuu huku tukidumisha viwango vya juu vya uchambuzi na mapendekezo. Washindani wetu wengi hutoza gharama kubwa za washauri au kuingiza michango ya kila mwezi kwa hila. Sisi hatufanyi hivyo. Bei unayoiona ndiyo bei unayolipa, kila mara.
Tunatoa dhamana ya kurudishiwa pesa ndani ya siku 30. Iwapo hufurahishwi na bidhaa hii, tuma tu barua pepe kwa support@16personalities.com ndani ya siku 30, nasi tutakurudishia pesa zako – bila maswali yoyote.
Ripoti Maalum ya Utu
Fungua uwezo wako kamili kupitia utafiti wa kipekee kuhusu nguvu fiche zinazounda mafanikio yako na uwezo wako, kwa $9 tu.
Hakuna Hatari, Dhamana ya Kurudishiwa Pesa 100%
Iwapo hutoridhika na bidhaa hii, tuma tu barua pepe kwa support@16personalities.com ndani ya siku 30, nasi tutakurudishia pesa zako – bila maswali yoyote.